×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yapiga marufuku ya kutembelea watoto katika shule za mabweni

8th October, 2018

Serikali imepiga marufuku ya kuwatembelea watoto walio kwenye shule za mabweni, kuanzia sasa hadi mitihani ya KCPE na KCSE itakapokamilika. Akitangaza mikakati Iliyowekwa ili kudhibiti udanganyifu kwenye mitihani, waziri wa elimu Dr. Amina Mohamed pia amewaonya wazazi ambao watoto wao watapatikana na simu za rununu kuwa watawajibika wenyewe.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS