.
8th October, 2018
Huenda vita vya maneno kati ya upande wa naibu Rais William Ruto na ule wa kiongozi wa ODM Raila Odinga visisitishwe hivi karibuni baada ya matamshi ya leo ya kiongozi wa wachache kwenye bunge la seneti James Orengo anayesema kuwa Ruto haungi mkono marekebisho ya katiba