×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gideon Moi atoa maoni kuhusu kura ya maamuzi

6th October, 2018

Tukiwa bado katika maswala ya kura ya maamuzi Seneta wa Baringo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi amesema kuwa suala la kura ya maamuzi linatakiwa kuchukuliwa kwa uzito wala halitakiwi kupuuzwa na jamii ya wanasiasa katika taarifa kwa vyombo vya habari Gideon amesema kuwa wakenya wana haki ya kuichambua katiba na kupendekeza marekebisho kwa sababu wana sauti kubwa kuhusu utekelezaji wa katiba. 

Gideon amesema kuwa wanasiasa wanatakiwa wayasikilize maoni ya watu kuhusu mabadiliko ya katiba wala si kuwakatia wananchi kauli. 

Gideon ameongeza kuwa ni dhahiri wanachi wangependa katiba hiyo ifanyiwe marekebisho kwa sababu ya gharama ya maisha kupanda

.
RELATED VIDEOS