6th October, 2018
Polisi mjini Eldoret wamemzuilia mwanamke mmoja kutokana na kifo cha mmewe kinachoripotiwa kutokea katika usiku wa manane .
Marehemu Geoffrey Matchesa inadaiwa alikatwa mara kadhaa kichwani na shingoni na kisha kichwa chake kikawekwa ndani ya guni.
Inadaiwa kuwa mke wake alionekana akibeba mwili wa mumewe kwa pikipiki lakini akatambuliwa.