Polisi Garissa wanamtafuta mwanamke anayedaiwa kwa kumpiga na kumjeruhi msichana mdogo
4th October, 2018
Polisi mjini Garissa wanamtafuta mwanamke mmoja anayedaiwa kwa kumpiga na kumjeruhi kichwa kwa kifaa butu msichana mdogo mwenye umri wa miaka 12 kwa madai kuwa alipika chakula kibichi.