×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke atoweka katika mazingira ya kutatanisha katika Kijiji cha Chebior

2nd October, 2018

Katika  kisa ambacho kimewaacha wakaazi wa Kijiji cha Chebior Kaunti ya Elgeyo Marakwet wakijiuliza maswali mengi, mwanamke mmoja ametoweka katika mazingira ya kutatanisha na hata kukosa kuhudhuria mazishi ya binti yake aliyeuawawa kinyama.  Marehemu viterline jemutai ambaye aliuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa alikuwa  mwanafunzi wa kidato cha 3 katika shule ya upili ya chebior. Sasa polisi wameanzisha msako wa kumtafuta  mama ya marehemu huku wenyeji wakitafakari mikasa ambayo imeandama familia ya mwanamke huyo.  Elvis kosgei na maelezo zaidi.

.
RELATED VIDEOS