×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afueni kwa familia ya Ishmael Abdala waliokuwa wakiishi ndani ya gari

2nd October, 2018

Ni afueni kwa familia ya baba mmoja na wanawe wawili waliokuwa wakiishi ndani ya gari lililotelekezwa katika mtaa wa Kibera baada ya  KTN kuangazia masaibu yao sasa wahisani wamejitokeza kuwasaidia. Hivi leo mke wa gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Sonko bi Primrose Mbuvi amewatembelea Ishmael Abdala khamis pamoja na wanawe wawili. Sasa ishmael  ameaahidiwa kuwa atapata kazi katika kaunti ya nairobi huku bi mbuvi akiahidi kuwalipia karo ya shule wanawe wawili.

.
RELATED VIDEOS