×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kasumba ya mfumo dume inakabiliwa katika eneo la Kipkelion

2nd October, 2018

Tatizo la wanawake kutenga katika shughuli za kiuchumi nchini bado lingalipo katika jamii ambayo imechagua kulifumbia macho swala hilo. Lakini  katika eneo la Kipkelion Kaunti ya Kericho kasumba ya mfumo dume inaonekana kukabiliwa katika sekta ya ukuzaji kahawa ambapo wanawake wamepewa fursa ya kumiliki  miti ya kahawa wakiitunza kwa faida yao. 

.
RELATED VIDEOS