×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MAUAJI MANDERA: Wenyeji wa Elwak wanalalamika dhiidi ya Maafisa wa Jeshi

1st October, 2018

Wenyeji wa Elwak katika Kaunti ya Mandera bado wanalalamikia tukio ambako Maafisa wa Jeshi  waliwapiga vibaya na kuwahangaisha  baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini wiki iliyopita.  Taarifa zinasema kuwa takriban  mtu mmoja aliuawawa katika kisa hicho na  kumi na saba kujeruhiwa. Gavana wa kaunti ya mandera ali robo alisema wiki iliyopita kuwa wanajeshi hao waliteketeza nyumba za wenyeji pamoja na kuua mifugo. 

.
RELATED VIDEOS