×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Malumbano kati ya Naibu wa Rais William Ruto na Raila Odinga yashika kasi

1st October, 2018

Malumbano ya kisiasa kati ya Naibu wa Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga yanaonekana kushika kasi baada ya wanasiasa wanaomuunga mkono Raila Odinga kujitokeza na kumjibu Ruto kuhusu shutuma zake alizotoa mwishoni mwa juma. Ruto alisema kuwa raila ana nia ya kumtimua katika chama cha jubilee kupitia salamu zake za heri na Rais Uhuru Kenyatta. Wakijibu shutuma hizo, mbunge wa Suna East Junet Mohammed na Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Joho wamesema kuwa Ruto hata hafikii viwango vya Raila Odinga kisiasa.

.
RELATED VIDEOS