TEMBEA KENYA: Kaunti ya Isiolo ndiyo kaunti pekee iliyo na hifadhi tatu za wanyamapori nchini

KTN News Sep 29,2018


View More on KTN Leo

Kwenye makala ya Tembea Kenya wiki hii mwanahabari George Maringa anatupeleka katika Kaunti ya Isiolo ambayo ndiyo kaunti pekee iliyo na hifadhi tatu za wanyamapori nchini na inajivunia kuwa na aina za wanyama watano spesheli ama ukipenda 'the special five'. Na kama anavyotuarifu, wanyama hao hupatikana eneo la kaskazini mwa kenya pekee kando na hoteli za aina yake ambapo wageni hutulia.