Zilizopendwa: Baadhi ya watangazaji walipovuma

KTN News Sep 27,2018


View More on KTN Leo

Je mtazamaji unamkumbuka  mtangazaji yupi aliyebobea katika enzi zile? Wapo tu wengi ikitegemea na  miaka waliovuma. Tobias Chanji anatusimulia  baadhi ya watangazaji walipovuma katika makala ya leo ya zilizopendwa.