×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waakilishi wadi 32 katika Machakos wanamtaka Gavana Alfred Mutua kuomba msamaha bila masharti

27th September, 2018

Waakilishi wadi 32 katika kaunti ya Machakos sasa wanamtaka Gavana Alfred Mutua  kuomba msamaha bila masharti  kwa kumdhihaki spika wa bunge la kaunti hiyo.

Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge hilo Mark Muendo waakilishihao  wamemshutumu Mutua kwa kuwahujumu wakidai kuwa amekuwa akiwachochea wapiga kura dhidi yao. Zogo linahusu uteuzi wa mawaziri wa serikali ya kaunti ambapowaakilishi hao wamekuwa wakitilia shaka baadhi ya maamuzi ya Gavana Mutua.

.
RELATED VIDEOS