Gavana Okoth amerejeshwa rumande kusubiri ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana
25th September, 2018
Gavana wa kaunti ya Migori Okoth Obado amerejeshwa rumande kusubiri ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana kuamuliwa na jaji Jessy Lessit siku ya alhamisi.