.
24th September, 2018
Hali ya taharuki imeshuhudiwa katika eneo la Olposimooru na Olenguruoni Jumapili jionina asubuhi ya leo baada ya mapigano kuzuka baina ya jamii zinazoishi katika eneo hilo. Kwa mujibu wa maafisa wausalama mtu mmoja ameuawa na wengine ishirini na sita wakijeruhiwa vibaya.