×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Eugene Wamalwa matatani kutokana na kutolipwa kwa wakulima wa mahindi

23rd September, 2018

Bunge la Senate limemtaka Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa kufika mbele yake kutoa maelezo kuhusu ni kwa nini serikali imechelewesha malipo ya wakulima wa mahindi hata baada ya kuahidiwa kuwa wangelipwa. 

Akizungumza baada ya kupokea maoni ya wakulima mjini Kitale Seneta wa Kaunti ya Uasin Gishu, Margaret Kamar, amesema ni dhuluma kwa wakulima kutolipwa baada ya kuwasilisha mazao yao katika halmashauri ya kitaifa ya nafaka na mazao NCPB. 

.
RELATED VIDEOS