.
23rd September, 2018
Kwenye makala ya mwanamke ngangari mwanahabari Lofty Matambo alikutana na mama Rhoda Ireri, mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini na miwili ambaye ameutawala ulimwengu wa kuwa fundi wa magari au mekanika kiasi cha kuwa meneja wa karakana ya magari ya kampuni moja hapa Nairobi. Alikweaje hadi kufikia hapo?