×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bintiye hakimu mkazi wa mahakama aliyeuawa, azikwa Uasin Gishu

22nd September, 2018

Marehemu Maribel Kapolon bintiye hakimu mkazi wa mahakama Githongo Caroline Kemei ambaye alitekwa nyara kisha kuawa kwa mazingira tatanishi alizikwa leo katika eneo la Murgusi kaunti ya Uasin Gishu.

Maelfu ya watu walihudhuria sherehe ya mwendazake huku wengi wakitaka haki itendewe familia hiyo.

.
RELATED VIDEOS