.
22nd September, 2018
Rais Uhuru Kenyatta amewateuwa viongozi mbalimbali akiwemo mjane wa marehemu Chris Msando Eva Buyu Msando kuhutumu katika mashirika ya serikali.
Wengine ni wanasiasa kutoka mrengo wa upinzani NASA na wengi waliolambishwa vumbi katika uchanguzi wa Agosti nane.