.
19th September, 2018
Wabunge waliodai kuwa wenzao walipata hongo ili kutupilia mbali ripoti ya sukari ilikuwa imeandaliwa na kamati maalum ya bunge wamefika mbele ya kamati maalum ya bunge ikiongozwa na spika wa bunge Justin Muturi kuthibisha madai yao. Baadhi yao waliomaba radhi isipokuwa tu wabunge Didmus Barasa wa kimilili na Geofrey Odanga wa Matayos waliosisitiza kuwa waliwaona wabunge wakipokea rushwa.