.
19th September, 2018
Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amewakashifu wanaoipinga hoja ya ushuru ya asilimia nane kwa bidhaa za petroli. Kalonzo amesisitiza kuwa licha ya kuwepo na haja ya kupunguza gharama ya maisha kwa wakenya, suala la maendeleo ya taifa lazima lizingatiwe.