×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

COTU imewataka waajiri wote watathmini upya mikataba ya makubaliano

18th September, 2018

Katibu mkuu wa muungano wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli leo hii amewataka waajiri wote watathmini upya mikataba ya makubaliano ya sasa ili waajiriwa waweze kustahimili hali ngumu ya kiuchumi inayoshuhudiwa nchini. Atwoli alikuwa akizungumza wakati wa kutia sahihi makubaliano mapya baina ya miungano ya wafanyikazi wa mashamba makubwa ambapo wafanyikazi walio kwenye muungano wa cotu pamoja na ule wa wakulima wa wapandaji watapata nyongeza kwenye mishahara yao kwa asilimia kumi na ishirini mtawalia.

.
RELATED VIDEOS