Wabunge wa ODM walikubaliana na hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kupunguza ushuru

KTN News Sep 18,2018


View More on KTN Leo

Wabunge wa ODM walikubaliana na hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kupunguza ushuru kwa mafuta kutoka asili mia 16 hadi asili mia 8. ODM ilikuwa na mkutano wa wabunge wake kabla ya kuelekea bungeni walikostahili kujadili mswada huo wa fedha uliokuwa umewasilishwa kwa rais kenyatta na waziri wa fedha.