KMPDU umeitaka serikali ya Kaunti ya Nairobi kuwarejesha kazini wafanyakazi wa hospitali ya Pumwani

KTN News Sep 18,2018


View More on KTN Leo

Muungano wa kutetea maslahi ya madaktari nchini KMPDU sasa umeitaka serikali ya Kaunti ya Nairobi kuwarejesha kazini wafanyakazi watatu wa  hospitali ya Pumwani wakiwemo madaktari wawili waliosimamishwa kazi na gavana mike sonko hapo jana baada ya miili kumi na wawili kupatikana ikiwa imefungwa kwa makaratasi ya plastiki na kuwekwa kwenye maboksi katika hali tatanishi.