Mwalimu wa Shule ya Loreto Limuru ameuawa kwa kudungwa visu mara kadhaa
18th September, 2018
Mwalimu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Loreto Limuru ameuawa kwa kudungwa visu mara kadhaa na mtu ambaye lengo lake halijajulikana hadi sasa. Mshahmbulizi wa mwalimu huyo pia aliuawa na umati.