×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MERU PUPIL DEATH: Mashirika yafanya maandamano kukemea mauaji ya Maribel Kapolon

18th September, 2018

Siku mbili baada ya mwili wa mwanafunzi Maribel Kapolon mwenye umri wa miaka tisa kupatikana ndani ya msitu, mashirika mbalimbali yamejitokeza kuandaa maandamano mjini meru, huku viongozi mbali mbali wakimiminika nyumbani kwa marehemu ili kutoa risala za rambi rambi. Muungano wa majaji na mahakimu nchini vile vile umekemea mauaji hayo na kutaka maafisa wa mahakama kupewa ulinzi wa kutosha. Mwanahabari george maringa amekuwa akifuatilia taarifa hii kwa kina na anatupa maelezo kamili.

.
RELATED VIDEOS