Ziwa la Kamnarok lakabiliwa na janga la gugu maji

KTN News Sep 16,2018


View More on KTN Leo

Eneo la Ziwa la Kamnarok ilitambulika sana kwa shughuli za utalii kutokana na hifadhi yake ya ndege wa kila aina, mamba zaidi ya elfu ishirini na mimea ambayo haipatikani kwa urahisi. 

lakini sasa ziwa hilo linakabiliwa na tishio la kuangamia kutokana na gugumaji.