Makabiliano makali yazuka Eastleigh

KTN News Sep 16,2018


View More on KTN Leo

Makabiliano makali yalizuka katika mtaa wa  Eastleigh kati ya  wapangaji, wakazi na watu wanaojiita  madalali ambao walikuwa wakizozania umiliki wa ardhi katika eneo hilo.  

Wakaazi waliwashambulia madalali hao ambao wanadai wamekuwa wakiwahangaisha kwa kuchelewa kulipa kodi.