×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naibu wa Spika wa Nakuru Samuel Tonui azuiliwa kwa madai ya kuhusika katika vita vya kikabila Njoro

15th September, 2018

Naibu wa Spika wa Nakuru Samuel Tonui na watu wengine kumi na mmoja wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Njoro kwa madai ya kuhusika kwenye vita vya kikabila katika maeneo ya Njoro kaunti ya Nakuru. 

Watu tisa wameuawa na takriban kumi na watano kujeruhiwa vibaya. 

Polisi na maafisa wa GSU wanaendelea kushika doria katika juhudi za kurejesha amani kati ya jamii zinazozozana. 

.
RELATED VIDEOS