15th September, 2018
Shughuli ya ubomoaji wa jengo la Airgate linalojulikana kama Tajmall ilianza mapema hii leo.
Maafisa wa polisi wamekuwa na kibarua kigumu cha kuwatawanya raia waliofika katika eneo hilo kutazama shughuli ya ubomoaji.
Aidha maafisa hao wamelazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya watu waliojaribu kupora mali.