Wakenya watoa hisia zao kuhusu sare mpya za polisi

KTN News Sep 13,2018


View More on KTN Leo

Mda mchache baada ya rais Kenyatta kuzindua sare mpya za maafisa wa ngazi za juu idara ya polisi, ambazo alisema itakua wepesi kwa maafisa wa usalama kuonekana, wakenya nao waliingia kwenye mitandao ya kijamii kupaaza hisia zao kuzihusu sare hizo mpya za polisi. Rais Kenyatta ameagiza inspekta generali wa polisi kushirikiana na wizara ya fedha kutekeleza mabadiliko hayo