.
12th September, 2018
Mtu mmoja amenaswa na polisi kwa madai ya kupanda bangi katika eneo la Limuru kaunti ya Kiambu. Njoroge Mbugua aliyetiwa mbaroni na maafisa wa usalama alikiri kuwa amekuwa akipanda bangi kwa miaka miwili sasa, na kutajwa na wito aliopewa na mungu kufanya hivyo.