Rais Uhuru Kenyatta ameandaa mkutano na Waziri wa Fedha Henry Rotich

KTN News Sep 11,2018


View More on KTN Leo

Rais Uhuru Kenyatta mapema hii leo ameandaa mkutano na waziri wa fedha Henry Rotich, na  mwanasheria mkuu  Paul Kihara kuhusu mswada wa fedha uliosababisha ada ya asilimia 16 kwa bidhaa za mafuta. Haya yanajiri huku shinikizo kwa rais kenyatta kutia sahihi mageuzi kwenye mswada huo kufutilia mbali ushuru kwa mafuta angalau kwa miaka miwili zaidi zikizidi.