Jamaa mmoja kumuua nduguye kufuatia mzozo wa ardhi katika kijiji cha Gitero
11th September, 2018
Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Gitero katika Kaunti ya Nyeri, baada ya jamaa mmoja kumuua nduguye kufuatia mzozo wa ardhi. Inakisiwa wawili hao walikua wakiishi pamoja kabla ya zogo kuzuka.