Gavana Sonko awaonya Wakilishi wa Wadi

KTN News Sep 08,2018


View More on KTN Leo

Siasa za Kaunti ya Nairobi zimeonekana kupenyeza wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka tatu tangu kifo cha babake gavana wa nairobi mike sonko katika eneo la  mua hills kaunti ya Machakos. Haya yanajiri siku tatu tu baada ya wawakilishi wa wadi katika kaunti ya nairobi kumng'atua mamlakani spika wa kaunti beatrice elachi na kutishia kumfanyia vivyo hivyo gavana mike sonko . Mwanahabari wetu mark namaswa amehudhuria maadhimisho hayo na sasa tuungane naye atueleze yanayojiri.