.
8th September, 2018
Viongozi kutoka Magharibi wakiongozwa na kiongozi wa Chama cha ANC Musalia Mudavadi wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwajibikia nyongeza mpya ya bei ya bidhaa za mafuta huku wabunge wakisutwa kwa kulifumbia macho swa hili walipoupitisha mswada huo 2013.