.
5th September, 2018
Shirika la umoja wa wafanyibiashara humu nchini (trade unions congress of Kenya) hii leo limejitokeza kukashifu kodi ya nyongezo ya asili mia 16% kwa bei ya mafuta na imeitaka serekali kuondosha nongezo hiyo.
Shirika hilo limemtaka rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati na kujali maslahi ya wafanyibiashara wanaokerwa na nyongeza hio kwani imewaathiri pakubwa katika biashara zao.