.
5th September, 2018
Jina Mkwiro linamaanisha kigongo kidogo kinachotumiwa kupiga ngoma. Enzi za mababu zetu ngoma aina na aina zilipigwa ikiwemo ngoma ya mashetani na ndio ikazuwa jina Mkwiro.
Na katika utalijuajiji wiki hii mwanahabari wetu Tobias Chanji anaangazia Kisiwa cha Mkwiro na hulka ya watu wake.