Waziri Amina Mohammed: Matayarisho ya mitihani ya taifa yamekamilika
4th September, 2018
Waziri wa elimu Amina Mohammed amesema kuwa matayarisho ya mitihani ya taifa yamekamilika. Amina amesema kuwa wizara yake imeweka mikakati ifaayo kuzuia wizi wa mitihani kama hatua ya kudumisha uadilifu.