NECC imezuru chemichemi ya maji ya Ondiri eneo la Kikuyu

KTN News Sep 04,2018


View More on KTN Leo

Kamati ya kitaifa ya kushughulikia malalamishi ya mazingira imezuru chemichemi ya maji ya Ondiri eneo la Kikuyu baada ya taarifa kuhusu uchafuzi wake. Hata hivyo idara za nema na mamlaka ya maji zilizidi kulaumiana kuhusu ni nani amelegeza kamba.