.
3rd September, 2018
Wakenya wengi wamekuwa wakijihusisha na shughuli ya kuwafanyia utafiti na mazoezi wanafunzi wazembe au wale wasio na wakati wa kutosha kwa malipo hasa wale wanafunzi wa ughaibuni. Sasa vijana wawili wamebuni programu ya kenya ambayo inatekeleza majukumu sawia na hayo.