×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaharakati Okiya Omtata amewasilisha mahakamani kesi inayopinga ushuru wa ziada

3rd September, 2018

Mwanaharakati Okiya Omtata amewasilisha mahakamani kesi inayopinga serikali kutetekeleza ushuru wa ziada wa asilimi kumi na sita kwa bidhaa za mafuta. Omtata anaitaka mahakama itoe agizo la kusitisha kwa muda utekelezaji wa ushuru huo hadi muafaka upatikane. Kwingineko wadau kwenye sekta ya uchukuzi wameshikilia kwamba iwapo serikali haitabatilisha ushuru huo mpya, wakenya watalazimika kugharimika zaidi.

.
RELATED VIDEOS