×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Baringo Gideon Moi akutana na wazee kutoka Meru

1st September, 2018

Baadhi ya wazee kutoka Meru walikutana na Seneta wa Baringo Gideon Moi na kumuahidi kuwa watamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka wa 2022. Wazee hao walioongozwa na professa albert mugambi na David Gituma walisema kwamba wameridhika kwamba moi atakuwa kiongozi bora kumrithi rais Uhuru Kenyatta. Walikutana naye huko ngata, kaunti ya Nakuru.

.
RELATED VIDEOS