Jaa la Kibarani Mombasa lafungwa

KTN News Aug 29,2018


View More on KTN Leo

Serikali ya kaunti ya Mombasa imetangaza kufungwa kwa jaa la taka la kibarani. 

Sasa taka zote zitapelekwa katika eneo la mwakirunge huku upande wa Likoni taka zikielekezwa katika maeneo ya Shonda