×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Garissa Ali Korane ahojiwa kuhusu jaribio la kumwua waziri wa zamani

28th August, 2018

Gavana wa Garissa Ali Bunnow Korane ameshinda mchana kutwa kwenye kituo cha polisi cha Nairobi area akihojiwa kuhusu jaribio la kumwua waziri wa zamani wa fedha kaunti ya garissa idriss aden mkutar. Hata hivyo kufikia jioni hii taarifa zilisalia finyu kuhusu iwapo atalala kizuizini au la.

.
RELATED VIDEOS