.
28th August, 2018
Aliyekua mwenyekiti wa Tume ya Ardhi Nchini Mohammed Swazuri, amepewa ruhusa na mahakama kuingia afisini mwake. Hata hivyo, mahakama imemwamuru swazuri kuwaarifu afisa mkuu mtendaji wa tume hio pamoja na maafisa wa eacc kila anapokwenda afisni humo.