×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

FKF kuchukua hatua dhidi ya mashabiki waliofanya uhalifu ugani

28th August, 2018

Shirikisho la soka nchini FKF limesema kwamba litachukua hatua dhidi ya mashabiki waliofanya uhalifu ugani Moi Sports Center Kasarani iwapo wasimamizi wa ligi kuu ya taifa hawatachukua hatua mapema. Mashabiki waling'oa na kuharibu viti ugani kasarani baada ya  gor mahia kupata ushindi wa mabao 2?0 dhidi ya afc leopards katika mechi ya ligi kuu ya taifa iliyochezwa siku ya jumapili. Ni matokeo ambayo yalihakikisha kwamba wamehifadhi taji la ligi kuu nchini.

.
RELATED VIDEOS