×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya imejiondoa kuandaa mashindano ya CECAFA

28th August, 2018

Kenya imejiondoa kuandaa mashindano ya kina dada ya ubingwa wa afrika baada ya kukosa kufikia viwango vya shirikisho la soka barani afrika. Kwa kile ambacho CAF wanadai ni ukosefu wa viwanja vya kutosha vinavyofikia viwango vya kuandaa michuano ya kimataifa. Wakati uohuo kenya pia imejiondoa kutoka uenyeji wa mashindano ya CECAFA  yaliyokuwa yaandaliwe mwezi desemba baada kukosa fedha za kutosha kuaanda mashindano hayo.

.
RELATED VIDEOS