×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Usimamizi wa kampuni ya maji katika Kaunti ya Murang'a yapata pigo

28th August, 2018

Katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi wa serikali za kaunti, Roba Duba, amemkashifu Gavana wa Murang’a Mwangi wa Iria kwa kile anachodai kuvuruga usimamizi na uendeshaji wa shughuli za kusambaza maji katika kaunti hiyo. Duba amesema hatua ya gavana wa iria kuchukua usimamizi wa miradi yote ya maji chini ya serikali ya kaunti, ni kinyume cha sheria kwani hatua hiyo imewadhulumu wafanyikazi wengi kwa kuwaharibia ajira yao.

.
RELATED VIDEOS