×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge wa Nakuru Town East David Gikaria afunga barabara kuu la Nakuru-Nairobi

27th August, 2018

 

Shughuli ya usafiri kwenye barabara ya Nakuru kuelekea Nairobi ilitatizwa kwa muda katika eneo la five eight baada ya Mbunge wa Nakuru Town East David Gikaria akiwa na wafwasi wake kufunga barabara hiyo na kuyapaka rangi matuta.

Matuta hayo yaliyokosa alama yanasemekana kusababisha ajali kadhaa katika eneo hilo la barabara kuu. Gikaria pia anailaumu kenha kwa kutozingatia  sheria  maalum kama inavyofaa kwa kuikarabati barabara hiyo na hivyo kutishia kupeleka mswada bungeni utakayochunguza uwazi wa kenha inapokabidhi kandarasi za ujenzi wa barabara. 

.
RELATED VIDEOS